CHAUMMA yamvua rasmi u-Katibu Mkuu Salum Mwalimu

CHAUMMA yamvua rasmi u-Katibu Mkuu Salum Mwalimu

Umasikini wa roho,ni ugonjwa mkubwa sana na mbaya sana kwa hivi vyama masikini!. Kosa la Salum Mwalimu ni,baada ya kupewa gari VXR ya serikali wakati wa uchaguzi,baada ya uchaguzi,aliendelea kuonekana na VXR sasa anaendesha mwenyewe!,kwanza walimtuhumu kuiba gari la tume,walipogindua kuwa ni lake,wanataka maelezo kapata wapi fedha wakati Chauma ni apeche alolo,wanadhani ni fedha za chama chao Salum kawaibia
View: https://youtu.be/pKurLGCz14Y?si=TeE2xh2x1IgCnrWt ,kumbe kainunua kwa pesa yake ya mfukoni!

P

Yale magari si walipewa bure hata kampeni zikiiasha inabaki kua mali ya chama au Mimi ndo sielewi
 
Masuala ya siasa we mgeni, katolewa ukatibu aende mahakamani? labda akafungue kesi ya jinai kusingiziwa kuiba au kudhalilishwa defamation case lkn sio kurudishiwa ukatibu.

Ya Zanzibar ni tofauti.
Inawezekana kuwa ni mgeni lakini najua hata ukimfukuza dada wa nyumbani na kumtangaza kuwa ni mwizi na malaya anakuwa na haki ya kukupeleka mahakamani. Mtu hafukuzwi kwa tuhuma bali huwekwa pembeni mpaka ukweli wa hizo tuhuma utakapojulikana.

Mahakama ina uwezo wa kuzuia utekelezaji wa uamuzi wa kumfukuza mpaka Mahakama itakapo toa hukumu nyingine.

Huyu mtu alishasema atakaa pembeni ili kupisha uchunguzi. Hapakuwa na sababu ya kutangaza kuwa wamemfukuza kabla ya uchunguzi kukamilika.

Kwa kweli wamekurupuka.

Amandla...
 
Mshauri aende.
 
Mwaka hujaisha upepo umegeukaje haraka namna hii
 
Wanarudia makosa yale yale ya vyama vyote vya siasa Tanzania. Wangempa nafasi ya kujitetea kabla hawajamuondoa kwenye cheo chake. Ndio mwanzo wa kupelekana Mahakamani na kukivuruga chama chao. Kitakachofuata ni kundi Mwalimu likipinga hatua hiyo.

Amandla...
Dhambi ya Usaliti hiyo..
 
Back
Top Bottom