Yale magari si walipewa bure hata kampeni zikiiasha inabaki kua mali ya chama au Mimi ndo sielewiUmasikini wa roho,ni ugonjwa mkubwa sana na mbaya sana kwa hivi vyama masikini!. Kosa la Salum Mwalimu ni,baada ya kupewa gari VXR ya serikali wakati wa uchaguzi,baada ya uchaguzi,aliendelea kuonekana na VXR sasa anaendesha mwenyewe!,kwanza walimtuhumu kuiba gari la tume,walipogindua kuwa ni lake,wanataka maelezo kapata wapi fedha wakati Chauma ni apeche alolo,wanadhani ni fedha za chama chao Salum kawaibia
View: https://youtu.be/pKurLGCz14Y?si=TeE2xh2x1IgCnrWt ,kumbe kainunua kwa pesa yake ya mfukoni!
P
Inawezekana kuwa ni mgeni lakini najua hata ukimfukuza dada wa nyumbani na kumtangaza kuwa ni mwizi na malaya anakuwa na haki ya kukupeleka mahakamani. Mtu hafukuzwi kwa tuhuma bali huwekwa pembeni mpaka ukweli wa hizo tuhuma utakapojulikana.Masuala ya siasa we mgeni, katolewa ukatibu aende mahakamani? labda akafungue kesi ya jinai kusingiziwa kuiba au kudhalilishwa defamation case lkn sio kurudishiwa ukatibu.
Ya Zanzibar ni tofauti.
Mshauri aende.Inawezekana kuwa ni mgeni lakini najua hata ukimfukuza dada wa nyumbani na kumtangaza kuwa ni mwizi na malaya anakuwa na haki ya kukupeleka mahakamani. Mtu hafukuzwi kwa tuhuma bali huwekwa pembeni mpaka ukweli wa hizo tuhuma utakapojulikana.
Mahakama ina uwezo wa kuzuia utekelezaji wa uamuzi wa kumfukuza mpaka Mahakama itakapo toa hukumu nyingine.
Huyu mtu alishasema atakaa pembeni ili kupisha uchunguzi. Hapakuwa na sababu ya kutangaza kuwa wamemfukuza kabla ya uchunguzi kukamilika.
Kwa kweli wamekurupuka.
Amandla...
Dhambi ya Usaliti hiyo..Wanarudia makosa yale yale ya vyama vyote vya siasa Tanzania. Wangempa nafasi ya kujitetea kabla hawajamuondoa kwenye cheo chake. Ndio mwanzo wa kupelekana Mahakamani na kukivuruga chama chao. Kitakachofuata ni kundi Mwalimu likipinga hatua hiyo.
Amandla...
Hamna usaliti katika siasa za Tanzania. Kutofautiana kimawazo ni ishara ya ukomavu, sio usaliti.Dhambi ya Usaliti hiyo..
Huyu arudi kwenye utangazaji Pascal MayallaMatapeli walikuwa wengi sana kina Ankali T na Genge lao la Machame.
CDM ya Heche na TAL ni hatari sana.
Kweli namkumbuka sana Channel 10 aliktangaza taarifa ya habari.