beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mbunge Abdallah Chaurembo amesema Kata za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji hazina kabisa Shule za Sekondari licha kwamba Sera ya Serikali ni kuwa na Sekondari katika kila Kata.
Akiwa Bungeni, pia amezungumzia hali ya msongamano wa Wanafunzi madarasani katika Shule mbalimbali zikiwemo Mbande, Chamazi, Mianzini, Kilamba, Nzasa, Mbagala Rangi Tatu, Mbagala Kuu na Kijichi.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, David Silinde amesema Kata ambazo hazina Shule zitazipata kwakuwa zipo katika mpango wa Serikali ya kujenga Sekondari 1,000 nchi nzima.