Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko.
Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni kuwa anaweza akafa kweli kwa mshtuko kusikia wale waliokuwa wanasema ameifungua nchi sasa wanasema ameiuza nchi.
Kwaya huwa wanabadili tu maneno ya kwenye wimbo ila chorus/kibwagizo kinabaki pale pale tu. Binafsi kuna mambo nlikuwa napingana na Dr. Magufuli na sijawahi kuyakubali. Ila nawasifu ambao wamebaki na msimamo wa kumuunga mkono akiwa kaburini. Hawa ndio sisi kwetu kule bara tunaita wanaume.
Tanzania ya sasa inakosa watu wenye kusimamia wanachoamini. Ndio maana haijalishi kasoma kiasi gani ila unakuta mtu anatoa ushauri wa kipumbavu. Sababu ya kutaka kuwa chawa apate chochote kitu.
Sijawahi sikia mtu akisema kaa mbali na hiyo maiti ina chawa, sijawahi! Ila nasikia huyu mtu fulani ana chawa.
"Ihalalishwe tu mi sioni sababu ya kuipiga marufuku."