Chawa hakai kwa mtu msafi

Joined
Jul 20, 2024
Posts
42
Reaction score
98
Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa

Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye nywele,nguo chafu.

Chawa husababisha upele, kujikuna na hata magonjwa.

Mtu msafi hana chawa, chawa hakai kwa mtu msafi ukimuona mtu ana chawa jua huyo ni mchafu huenda sio wa mavavi na mwili huenda ikawa hata uchafu wa matendo

Chawa hafai kufugwa,anapaswa kupasuliwa na kubinywa kwa vidole viwili,

Usiendekeze chawa atakuaibisha

#the doctor of philosophy

 
Like is not an endorsement.
My take
Meaning is internal and individual.
 
Code nyepesi sana hii
TAL hii ni diss kwa FAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…