Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Kumekuwa na huu msemo wa CHAWA kwa muda mrefu sasa. Mdudu chawa ni mdudu anayeishi kwa kunyonya dam za viumbe hai hasa binadam.
Kwa tuliozaliwa miaka ile tuliishi nao sana hawa kwenye mashuka, chupi, nguo ama mablanketi yasiyofuliwa, na machafu, wanapenda sana pia kuoshi kweenye nywele chafu.
Msemo huu umekuwa maarufu kwa wafuasi wa mtu flani maarufu kumsemea wanajiita chawa.
Ila kumbukeni chawa ni mdudu anayependa uchafu hivo sio msemo.mzuri hasa kuuhusisha na watu wenye heshima zao maana unawachafua sababu chawa yupo associated na watu wachafu.