Nimeiona mahali hii kauli ya
CHAWA Hakai na watu wasafi,
Na MTU Safi Hana chawa
na
mwisho Kikulacho Ki Nguoni Mwako.
Na huko mtaani naona kuna kauli za Chawa wangu, au Chawa WA Fulani nk. Je hizi kauli ni sifa za watu walio Bora.naomba wenye uelewa wanieleweshe , ili na Mimi Nika nunue hao chawa ikiwezekana