Ridiculous! Salim Kikeke ni mwanachama wa CCM kindakinda na Chawa mkubwa wa Samia. Leo anamhoji Chawa namba 2 wa Samia Rose Migiro. Kuna swali la maana litatoka hapo?
Most likely wamekaa kwanza wakapanga maswali na majibu yake ndiyo anakuja public kitulisha takataka!
Most likely wamekaa kwanza wakapanga maswali na majibu yake ndiyo anakuja public kitulisha takataka!