Chawa ni nani?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Nimekaa natafakari kwa nini baadhi ya watu wanajiita chawa. Leo nimepata jibu kuwa ni WANYONYAJI.

Ningeomba serikali ipige marufuku watu kujiita chawa.

Kwa wale tunaounga mkono uongozi wa rais Samia basi tuitwe tu WAPAMBE coz tupo naye bega kwa bega.

Mimi ni mpambe pia.
 
SI hawa kwel hao chawa unaowatafutaa mkuu.
 
CHAWA hutokana na uchafu wa mwili kutokuosha/wa kwa mda Mrefu... Ndo CHAWA hutokea hapo.

Sasa mtu akisema yeye ni CHAWA wa fulani 🤔🤔?
 
Mkiitwa wapambe hainogi inabidi tuwaite chawa mana hamna akili
 
Chawa ni matokeo ya uchafu, Mru mchafu ndie huwa na chawa kama matokeo ya uzembe wake.

Mama ni mchafu Mama ni mzembe Mama ana Chawa.
 
Wewe ni CHAWA Hakuna jina tofauti la kukupa Chawa wahedi wewe.
 
Chawa ni ajira mpya ya kupata pesa kupitia mtu mwengine kwa kumpa maneno matamu ya kutia moyo atafute hela zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…