PreGE2025 Chawa wa CCM Kinondoni: Mama Samia ana moyo wa huruma sana, kuteka maji tu hawezi ndo anaweza kumteka mtu?

PreGE2025 Chawa wa CCM Kinondoni: Mama Samia ana moyo wa huruma sana, kuteka maji tu hawezi ndo anaweza kumteka mtu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli ana huruma kama anaweza kuruhusu watu watekwe ili amani iendelee kuwepo hii ni huruma ya hali ya juu
 
Minaona sijui ndio mwisho wa dunia.....☹️ maana mambo mengi wakati muda hautoshi kabisa yaniii...😶
 
Ndio kina Mwashambwa hao🤣🤣🤣.

Hawa ndio wa kusifia mpaka ushuzi.

Kwa lugha nyepesi wamemaanisha mama hakuna analoweza fanya, kwamba hajiwezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Minaona sijui ndio mwisho wa dunia.....☹️ maana mambo mengi wakati muda hautoshi kabisa yaniii...😶
Ukitoka mtandaoni dakika tano ukirudi unakutana na kioja kipya🤣🤣🤣🤣
 
Yaani ni vichambo mwanzo mwenga...🤣
Hadi mtu unawaza leo sijui tutalala na kichambo gani kipya..😜
Yani haijulikani chawa ni nani, mkulungwa ni nani. Ni mwendo wa vichambo kutoka kote kote.

Kwa speed hii kina Mwijaku watakuwa hawana kazi maana Bi Mdashi anachamba kuliko wao.
 
Vice versa inawezakana nikabeba bango Kama Hilo nikaandika.


Samia must go 2025 bila kutekwa.
 
Wakuu, pointi ni zilezile:
1. High population growth
2. Poor policies
3. Poor health facilities
4. Lack of infrastructure
5. Poor education
6. High illiteracy rate
7. Lack of capital
8. Primitive science and technology
9. Low wages
10. Land alienation
11. Unskilled labor
12. Political imbalance
13. Fear and disunity among citizens
 
Orodha ya wanasubiri kutumwa imejaa, inabidi chawa mchanga ajitume mwenyewe. Kila mtu anakula kwa jasho!
 
Back
Top Bottom