MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF,
Baada ya mama kukiri kuwa ana pita pita humu ni hakika chawa wake wataongezeka na mapambio na kaswida nazo zitaongezeka.
Si vibaya mtu kupewa sifa anayo stahili, ila watoa sifa ambao ni machawa na walamba viatu wanapaswa kuongezwa kidogo (building their capacity). Wapige mapambio na waimbe kaswida zenye uhalisia na kistaarabu.
Ni ukweli usiopingika kwamba machawa yakishalamba asali yanaimba mapambio na kaswida on top of their voices
Still, mama yetu anapaswa kushauriwa kiuaminifu, asifanyiwe upambe potofu, pale inapostahili aambiwe ukweli ata kama ni mchungu..
Chawa wajengwe ku-call a spade by its name.
Wenye macho na wasome.