Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Kheri wewe unalijua hilo ndugu... mazwazwa wengine wajifunze, waache kulialia na chuki binafsi. Fursa zipo! Dunia ni yetu! Si vibaya kuruka mipaka kutazama fursa kwingineko za maisha.Kama alivyofanya Dr Slaa alipotimkia ughaibuni. Alivuna mpunga wa kutosha. Wabongo wana roho fulani hivi ya kwanini!
Ungewajua watu kiukweli nyuma ya hiyo screen yako iliyopasukapasuka ndo ungejiona we kweli duniani ulikuja kupuyanga.Sioni tija kuendelea kubishana na kilaza
Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe,unamtisha nani wakati hata mimi hunifahamu! Mimi wala sina haja ya kukujua wewe binafsi wala kutaka kujua hali yako ya kimaisha vyovyote utakavyokuwa hayo ni maisha yako.Ungewajua watu kiukweli nyuma ya hiyo screen yako iliyopasukapasuka ndo ungejiona we kweli duniani ulikuja kupuyanga.
Kweli uko serious unayaweza?! πππWewe tu.
MmmhKikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
Nashangaa eti Hana shuleHuwez ajiriwa in one of the top news broad casting eti huna elimu. British standards zina demand uwe na elim tena si ya kuunga unga
Na BBC Swahili yenyewe imejifia wameipeleka Kenya, baada ya kutangaza habari za dunia kwa kiswahili, matokeo yake wanatangaza habari za KenyaSio suala la mshahara bali ni suala la uaminifu na kutimiza ahadi. Kwanini watoe ahadi halafu washindwe kutekeleza. Kama sio uhuni ni nini? Wangemuacha aendelee kubaki BBC wangepungukiwa nini?
Ila na ye bwana aliamini vipi kirahisi?.Mkuu hata wakimpangia nafasi nyingine lakini kumbuka nafasi aliyoahidiwa sio hiyo atakayopewa. Ni bora wangemuacha aendelee kuvuna paundi akiwa BBC. Wamemharibia future bila sababu za msingi.
Mmh jamaniNa BBC Swahili yenyewe imejifia wameipeleka Kenya, baada ya kutangaza habari za dunia kwa kiswahili, matokeo yake wanatangaza habari za Kenya
Watu mnamadharau sana!Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.