BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma,
Kimefika kipindi Cha kuhuisha Mkataba,Waswahili wanahakikisha huonani na Mzungu mwenye Kampuni unaonana na WAZAWA,CHAWA wa Wazungu,wanataka Kodi iwe laki nne Kwa mwezi,Mataba mpya!
Ongezeko la 100,000 baada ya miaka 10! Kampuni Market share yake nchini katika mawasiliano imekuwa kutoka asilimia 0 mpaka zaidi ya 18% nchini, lakini Mzawa hawataki ninufaike pia!
Wanatoa ripoti,zisizofaa kwa mwekezaji,Ili Mzawa asipate Mkataba, Mzuri! Ngozi nyeusi ni shida sana! Nani ameturogo!
Duniani tunapita,tenda mema acha uchawa na uchawi!