Mimi ni kijana 26 likizo hii nimeishi na mwanafunzi wangu ,tatizo linakuj uyu dogo kaja na chawa nimewakuta kwenye nguo zake mi siku zote napenda sana usafi asa kuna chawa wamejenga kibanda kwenye sehemu zangu za siri nimenyoa kipara naosha na kusugua.
Wanatoka ila nikichoka tena nakuta wapo wameng'ang'ana kamaq1 kupe kwa ngo'ombe ,je nitumie mbinu ipi au dawa ipi ili niwaangamize mana wananikera sana, samahani mwandiko wangu.
Wanatoka ila nikichoka tena nakuta wapo wameng'ang'ana kamaq1 kupe kwa ngo'ombe ,je nitumie mbinu ipi au dawa ipi ili niwaangamize mana wananikera sana, samahani mwandiko wangu.