Chawa wameniandama

Chawa wameniandama

Ananear

Member
Joined
Nov 18, 2020
Posts
56
Reaction score
26
Mimi ni kijana 26 likizo hii nimeishi na mwanafunzi wangu ,tatizo linakuj uyu dogo kaja na chawa nimewakuta kwenye nguo zake mi siku zote napenda sana usafi asa kuna chawa wamejenga kibanda kwenye sehemu zangu za siri nimenyoa kipara naosha na kusugua.

Wanatoka ila nikichoka tena nakuta wapo wameng'ang'ana kamaq1 kupe kwa ngo'ombe ,je nitumie mbinu ipi au dawa ipi ili niwaangamize mana wananikera sana, samahani mwandiko wangu.
 
Chukua kidumu cha petroli, nend karibu na bahari jimwagie petroli mwili mzima alafu niwashe na kiberiti baada ya hapo, kwa spidi ya mwanga ingia kwenye maji.

Mi nlifanya hvyo mpka saivi nadhani wananiogopa.

Usiumize sana kichwa jina(ID) yangu inajieleza.
 
Nyau
 
Dawa ya chawa ni maji ya moto tu, fua kila kilchokuwepo ndani kwako kwa kutumia maji ya moto.

Pia hakikisha ukishafua nguo zote, unazipiga pasi saaafi.
 
Nimekusoma, iyo mbinu kichwan ni ya1 shd n kwamb wapo kwny pumbu at nipige upara wanarudi,nafua,naoga kila sku kwa maj ya moto ila ndo ivo
 
Kwa hao wa mwilini nenda hospitali onana na daktari atakushauri utumie dawa inaitwa Scaboma Lotion/Cream. Then wale wa kwenye nguo na mazingira mengine tumia sumu ya wadudu wanaoruka na wanaotambaa au piga maji ya moto yaliyochemka kabisaaaaa.......
 
Kama wapo kwenye kende nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa "sulphur oint " pakaa asubuhi na jioni.

Pia hao ni kwamba wapo kwenye nguo kwa hivyo kila ukiwatoa wa mwilini wanakuja wengine kutoka kwenye nguo.

NB: chawa ni indicator ya umaskini.
 
NB:[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ogea detol ya maji, weka maji kwenye ndoo, weka vifuniko viwili vya io dettol , oga sbh na jioni
 
Back
Top Bottom