Pre GE2025 Chawa wanasema 2025 wanaenda na mama, ingawa hawajui wanaenda wapi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop.
Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja.

Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine.

Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna.

Chawa wamekua kirusi kabisa. Watanzania wanaoongea mambo yenye mantiki hawasikilizwi na watanzania, hata wakisikilizwa, ni wachache wanaelewa.
 
Bora ya hao wanao pewa mikopo, na chama.
Kuna chawa huku wanateswa na
madeni ya vikoba
OYA
ASA
BLANC

Na sasa hawakopesheki, wapo wapo tu na sare zao za kijani
Tetea chama, tetea umaskini wako
 
Back
Top Bottom