Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop.
Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja.
Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine.
Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna.
Chawa wamekua kirusi kabisa. Watanzania wanaoongea mambo yenye mantiki hawasikilizwi na watanzania, hata wakisikilizwa, ni wachache wanaelewa.