johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mjadala wa Walimu kukataa Uteuzi wa uDC umekuwa mkubwa kana kwamba wao ndio Watu wa kwanza kukataa Uteuzi hapa nchini.
Kuna Wengi hukataa Teuzi kimya kimya na maisha yanaendelea.
Yuko mtu inasemekana Nyerere alitaka ateuliwe kuwa mgombea Urais wakati wa Chama Kimoja lakini alikataa kwa sababu alikuwa na maono yake huko OAU.
Shujaa Magufuli akiwa Singida Kwenye kampeni alisema alitaka kumteua Tundu Lisu Kwenye nafasi fulani ili aachane na mambo ya uRais lakini TAL alikataa.
Yupo DC aliteuliwa na Magufuli lakini akamshukuru kwa Uteuzi na kusema hayuko tayari.
So, walichofanya hawa Walimu ni kawaida sana, Ubongo unatakiwa kustawishwa siyo kusinyaishwa.
Chawa hawezi kujadili Uteuzi wake kwa sababu mosi hana vision pili hana option.
Mungu wa mbinguni akubariki!