Chawa wenye vyeo na fedha na Chawa wasio na vyeo wala fedha

Joined
Jul 6, 2024
Posts
97
Reaction score
72
Kwa kutumia mifumo ya nchi, tutawaelimisha waache ujinga na upumbavu wa kuamini kwamba wao ndiyo Tanzania na wengine ni kama sampuli ya mwanadamu.

Lazima tuwaelimishe kwa mujibu wa maelekezo ya Katiba ya CCM ya mwaka 1977, toleo la 2022, ibara ya 07, ibara ya 08 (1)(2)(6), na ibara ya 15 yote kwa umuhimu wake. Pia tutaweka mkazo kwa ibara ya 12(1)(a) kwa madhumuni ya kufikia ukurasa wa 152, vifungu 1, 3, 6, 8, na 9. Haya yote yanaungwa mkono na Ilani ya CCM ya mwaka 2020 ukurasa wa 01, ibara ya 04.

Elimu hii ni muhimu kwa ajili ya kuwaondoa katika upotovu wa mawazo na kuwafunza uzalendo wa kweli kwa nchi yao.
 
Aione Lucas Mwashambwa na wenzake.
 
Ukishakuwa chawa kuna kitu kinapungua kwenye ufahamu wa muhusika. Uwezo wa kupembua mambo unapungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…