Chawaism; why we question

zebingwa

Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
33
Reaction score
71
It is useless and sarcastic to be "chawa" in a poor country like yours, a kenyan friend told me, so guys let's stop this behaviour, be chawa of your own achievement!
 
Machawa wote ni kwa ajili ya achievement za kwao wenyewe. Inaelekea hujaelewa kwanini watu wanakuwa machawa
 
Nope wana achieve goal za mwingine na zao kidogo. Lakin effect wanayo iacha kwa jamii ni mbaya sana. Wanata kufanya kujitoa akili kwa mambo ya kipumbav liwe jambo la kawaida
 
It is useless and sarcastic to be "chawa" in a poor country like yours, a kenyan friend told me, so guys let's stop this behaviour, be chawa of your own achievement!
Hii Hali uliyo nayo Leo Ni matokeo ya Yale uliyoyafanya siku zilizopita, Na matokeo ya siku zijazo yanategemea Sana kile ambacho unakifanya leo
 
Nope wana achieve goal za mwingine na zao kidogo. Lakin effect wanayo iacha kwa jamii ni mbaya sana. Wanata kufanya kujitoa akili kwa mambo ya kipumbav liwe jambo la kawaida
Wao wanakuwa wajilenga wao hivyo ili wafaidike wanampgia mwingine debe na kumsujudia ili aweze kutimiza mambo yake na wao wapate ya kwao. Ukitaka kujua hilo tazama machawa wa magufuli waliokuwa wanasimamia sera zake kufa na kupona ndiyo hao hao sasa hivi wanapiga kelele kwa rais wa sasa muda mwingine wakikandia yale ambayo magu walikuwa wakimsifia nayo.
Kwa machawa unachobidi ufahamu wewe unayepigiwa debe ni kwamba, wanakuthamini kama wana cha kufaidi kutoka kwako basi.
 
It is useless and sarcastic to be "chawa" in a poor country like yours, a kenyan friend told me, so guys let's stop this behaviour, be chawa of your own achievement!
Who is not chawa? What do you call Kenyans who call Raila Odinga "Baba"!? Do they have any difference with those Ugandans who call M 7 "Muzee"?
 
It is useless and sarcastic to be "chawa" in a poor country like yours, a kenyan friend told me, so guys let's stop this behaviour, be chawa of your own achievement!
Uchawa vs human herding, what is practice in Tanzania is human herding. Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objective and hypocrite, (uoga wa kuigiza yaani unafiki), a.k.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujima data a.k.a uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…