Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hahaha hahaaaa haaa Bado hawajafikia hatua ya kujirahisisha kiasi hicho bwana. .haha aise ' !!!!!!
Huyu atakuwa Put InHahaha hahaaaa haaa Bado hawajafikia hatua ya kujirahisisha kiasi hicho bwana. .haha aise ' !!!!!!
Huyu atakuwa Put In
Samahani dada, mbona umechukia?Hivi wewe kaka unanitaka nini?
Tena ya ajabu kasi hiyoMaisha yanabadilika kwa kasi
Mbona haujanitag nijenisome huu upuuzi
Kwa kuwa ni najua kwamba haupendi mambo ya kipuuzi
Huyu anabifu na mimi achana naeHapana bwana Put In hawezi kujirahisisha kiasi hicho aise
[emoji23][emoji23] kungekua na shule zinazofundisha uongo we jamaa ungekua head master
Hahah kumbe unajulikana[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wewe kaka unanitaka nini?
Wewe na mwenzio shule zimeshafunguliwa ...j3 mwende shule msituchoshe