LGE2024 CHDEMA: Mkoa wa DSM wenye Mitaa 636 Wamekatwa majina ya Wagombea wetu 571 wamebaki 45 tu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Halafu vyombo vya ulinzi na usalama vinakubali huu ujinga wapuuzi kabisa.
Unafiki mtupu, ila ipo siku itafikia mtu akijulikana ni CCM atakua anashambuliwa kama ambavyo wamezoea kushambulia wapinzani. Wacha hii mbegu ikomae kidogo ili izae matunda.
 
Mjiangalie pia mnaleta watu wa aina gani.

Je wana elimu gani??

Fomu walijaza vipi??

Huwa mnawapa semina??

Isije kuwa mnalaumu tu generally wakati pia na nyie mmechangia na hamtaki kusema ukweli.
Kibajaji ana elimu gani?
 
Mjinga ni wewe unayedhani Chadema hawakosei.

Wote mnafanana ujinga wenu.
Wewe ni papai tena papai lililoiva! Nyie Ndio msiotakia mema Tanzania kwa kuwa corrupt kwa makusudi ya wazi wazi! Dhambi ni dhambi tu
 
Mjiangalie pia mnaleta watu wa aina gani.

Je wana elimu gani??

Fomu walijaza vipi??

Huwa mnawapa semina??

Isije kuwa mnalaumu tu generally wakati pia na nyie mmechangia na hamtaki kusema ukweli.
Kama mbunge sharti ni uwe unajua kusoma na kuandika je hizo nafasi za mtaa ndizo zinataka quolificatins zaidi? Punguza upumbavu.
 
Wakati mnalalamika ccm inachukua mitaa yote na hamna kitu mnaweza fanya ,zaidi ya malalamiko
 
Mjiangalie pia mnaleta watu wa aina gani.

Je wana elimu gani??

Fomu walijaza vipi??

Huwa mnawapa semina??

Isije kuwa mnalaumu tu generally wakati pia na nyie mmechangia na hamtaki kusema ukweli.
Mpumbavu
 
Mlisema ni Magufuli, hahaha! Kiko wapi sasa?
Ule wimbo ulioanzia CCM na nyie wapinzani mkaingia mkenge bila kujua mkaimba chorus: "uchaguzi ule ulikuwa uchafuzi, mama kaimarisha demokrasia, mama amewapa nafasi Sawa wapinzani, mama karuhusu maandamano, mama karuhusu mikutano ya hadhara, wapinzani walinunuliwa na Mwendazake, " ....na hizo ni rasharasha, elnino unakuja! Ndani ya CCM kuna mumiani, mafia ambao hata mwenyekiti wao anawaogopa wasije wakagusa "fuse" yake akapiga shot !
Your browser is not able to display this video.
 
Washauri wa Mwenyekiti wa chadema ni akina nani, waliomshauri apindue maamuzi yao ya kutoshiriki uchaguzi kwa Katiba hii? Siasa ni mkakati, na sio mizuka na uanaharakati wa akina Mdude!
 
Wengi hawajui kusoma na kuandika, ilibidi Meya mstaafu awatafutie watu wa kuwajazia fomu
Wapo juha wanasema wapo wana
Wengi hawajui kusoma na kuandika, ilibidi Meya mstaafu awatafutie watu wa kuwajazia fomu
Halafu wapo juha watafuta amani pasi na wajibu,haki na usawa. Kwenye yale mazingaumbwe ya kuonyesha ujinga wa mtu mweusi
 
mchezo unasimamiwa na watendaji wa vijiji/mtaa na wa kata
 
Wachawi labda kwenyw kurudishana nyuma
Yani hawa watu wenye majini sijui wachawi walitakiwa wadeal na wapumbavu kama hawa kina chengerwa, makala n.k
 
Reactions: Lax
Wanafanya uhuni. Wanaleta watu wala hawaishi mitaa inayohusika kwa nini wasikaywe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…