Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

Achana na mamadou, hebu muulize kuhusu Kambole yuko wapi? na vipi kuhusu Bigrimana lile chezaji la Newcastle lililokataa ofo kibao ulaya likaja kwa wananchi? Vipi kuhusu Johora kacheza mechi ngapi yanga pale?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nafikiri kashajielewa
 
Sawadogo alivyo sajiliwa mkasema tunaumia.

Ila uhalisia tuliwappenda ndionmaana tuka watonya.

Mchezaji ana miezi 6 anajacheza mpira, unasajili. Madhara yake mkayaona.


Makosa yale yale mmeyarudia kwa Ngoma (free agent), makosa mengine ya kuchukua mchezaji ligi ya rwanda.

Yaani mkonna shida pahala.

We ndugu yangu sijui mpira umeujua lini wewe yaani unashangaa kusajili mchezaji huru kwa bongo hii!!?

Kwani AUCHO alisajiliwa na yanga akitokea timu gani yule? Mlivunja mkataba? Na hakuwa amecheza kwa muda gani? Vipi ni mbovu au?

Vipi kuhusu Thadeo Lwanga wakati anakuja simba alisajiliwa kutoka timu gani? Vipi alikuwa mbovu?

Et tumesajili kutoka ligi ya Rwanda daah ovyo kabisa!!. Kwani Haruna Niyonzima wakati mnamsajili alitoka ligi gani?
Vipi kuhusu Kagere kabla ya Kuenda Gor mahia alitoka ligi gani?

Kina Mafisango si walikuja hapa wakitokea APR ya Rwanda au hujui hilo? Kwani Mbui Twite alitoka wapi wakati anakuja yanga? Vipi niwabovu hao?
 
Unataka kuema nyie yanga hamkuwa na sajili mbovu? Yule mamadou amecheza mechi gani ya yanga? Kukosea kupo mkuu lakini sio kila mchezaji!!! Najua huyu che malon kawauma na bado
Mamadou ni mchezaji mzuri na sio flop.

Sema ni kwamba hana nafasi ktk kikosi cha kwanza.

Sawaddogoo alipata nafasi siku moja na siku iyo iyo alionekana hafai.
 
Haya
Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?

Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?

Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?

Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!

Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?

Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.

Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.

Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.

View attachment 2682970View attachment 2682971View attachment 2682974
Haya Fred huyo...haahaaa ...badala ya kuokoa anafunga.
 
Leicester City imeshuka daraja lakini James Maddison kachukuliwa Tottenham Hotspur. Jiulize
 
Back
Top Bottom