Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

Achana na mamadou, hebu muulize kuhusu Kambole yuko wapi? na vipi kuhusu Bigrimana lile chezaji la Newcastle lililokataa ofo kibao ulaya likaja kwa wananchi? Vipi kuhusu Johora kacheza mechi ngapi yanga pale?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nafikiri kashajielewa
 

We ndugu yangu sijui mpira umeujua lini wewe yaani unashangaa kusajili mchezaji huru kwa bongo hii!!?

Kwani AUCHO alisajiliwa na yanga akitokea timu gani yule? Mlivunja mkataba? Na hakuwa amecheza kwa muda gani? Vipi ni mbovu au?

Vipi kuhusu Thadeo Lwanga wakati anakuja simba alisajiliwa kutoka timu gani? Vipi alikuwa mbovu?

Et tumesajili kutoka ligi ya Rwanda daah ovyo kabisa!!. Kwani Haruna Niyonzima wakati mnamsajili alitoka ligi gani?
Vipi kuhusu Kagere kabla ya Kuenda Gor mahia alitoka ligi gani?

Kina Mafisango si walikuja hapa wakitokea APR ya Rwanda au hujui hilo? Kwani Mbui Twite alitoka wapi wakati anakuja yanga? Vipi niwabovu hao?
 
UTOPOLO FC walipotolewa CAF beki alikuwa Nani?
 
Unataka kuema nyie yanga hamkuwa na sajili mbovu? Yule mamadou amecheza mechi gani ya yanga? Kukosea kupo mkuu lakini sio kila mchezaji!!! Najua huyu che malon kawauma na bado
Mamadou ni mchezaji mzuri na sio flop.

Sema ni kwamba hana nafasi ktk kikosi cha kwanza.

Sawaddogoo alipata nafasi siku moja na siku iyo iyo alionekana hafai.
 
Haya
Haya Fred huyo...haahaaa ...badala ya kuokoa anafunga.
Your browser is not able to display this video.
 
Leicester City imeshuka daraja lakini James Maddison kachukuliwa Tottenham Hotspur. Jiulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…