Lawama hazikwepeki timu inapofanya vibaya, viongozi watalaumiwa kwa sehemu yao na wachezaji kwa sehemu yao, hata mashabiki pia kuna saa kuna kulaumiana. Ishu hapa ni akae kwenye nafasi yake kama mchezaji wa kulipwa.Nahisi alikuwa ana maanisha wasilaumiwe wachezaji....tu Bali kufeli ni Kwa timu nzima
Hii nchi ukisema ukweli hupendwi, na hii tabia iko serikalini, mtu anayatibua halaf hataki kuambiwa ukweliMakolo wamjia juu che Malone Baada ya kufunguka ukweli [emoji23]View attachment 3004453
Sasa kama msemaji mwenyewe hasemi ye afanyeje sasa??!Amekuwa msemaji sasa. Wachezaji wanapaswa kufahamu ukomo wa majukumu yao.
Jukumu la ukaimu wa usemaji si lake. Anayo yanayomhusu moja kwa moja kama mchezaji.Sasa kama msemaji mwenyewe hasemi ye afanyeje sasa??!
ahaaa hapo sawaLawama hazikwepeki timu inapofanya vibaya, viongozi watalaumiwa kwa sehemu yao na wachezaji kwa sehemu yao, hata mashabiki pia kuna saa kuna kulaumiana. Ishu hapa ni akae kwenye nafasi yake kama mchezaji wa kulipwa.