Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
“Tatizo ni timu kwa ujumla na sio mtu mmoja mmoja, tatizo ni timu nzima na kama timu haijatulia mfano hata kwenye eneo la Utawala maana yake itaathiri timu nzima"
"Sijui tatizo limetokea wapi hasa ila sio kitu kizuri na timu imeathirika, kila kitu ni maandalizi na namna unaiongoza klabu naamini tulifeli kwenye maandalizi ya msimu huu”
Che Malone, Mchezaji wa klabu ya Simba