Che melon: hatuwezi kuwaahidi Chochote mechi ya kesho

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
HATUWEZI KUWAAHIDI CHOCHOTE MASHABIKI ILA TUNAWAITAJI KESHO

Beki wa kati wa wekundu wa msimbazi Simba Che Malone Fondoh amefunguka juu ya maandalizi waliyofanya kuelekea mchezo wao wa kesho wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya ASEC Mimosas na amewataka mashabiki wa Simba kuwaunga mkono na kutowatelekeza kwasababu ya hali ya klabu yao kwa sasa

"Hatuwezi waahidi kitu ambacho hatutoweza kukitimiza na hawawezi kututelekeza kwasasa tunawaitaji waje kwawingi kutusukuma kupata matokeo katika mchezo wa kesho" Che Malone Fondoh
.
#FutbalPlanetUpdates

Daah simba ndo tumefika huku....[emoji47][emoji47]
 
Mangungu na familia yake wanatosha kuwapa support, sisi tumesema hata kwenye vibanda umiza hatutahudhuria itakuwa kwa Mkapa?
 
Timu ina hali mbaya kwa sababu ya watu wachache ndani ya timu wasio na upendo na timu tarehe 25 akili zitawakaa sawa watakapo oona watu hawazidi elf 5 uwanjani kitu pekee nachoomba tufungwe tena nyingi ili mambo yatibuke zaidi ikiwezekana tupoteze mechi zote hadi za ligi
 
Kufungwa simba kwa sasa siyo kitu cha kuomba tena. Kesho itasema!
 
Dooh basi noma..nimejisikia huruma kama binadam.kwel wale ni watanwe tu wa jadi.tunawaombea mabaya ila yakiwazidia tunawaonea huruma [emoji23]
Kabisa mkuu...Hali mbaya .

Kuna Ile kauli ya muombee mabaya adui Yako ....lkn usimuue[emoji23][emoji23]
 
Duuh usifike huko mkuu[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…