Cheapest countries to travel to in 2025: Tanzania hatumo, tunakwama wapi?

Cheapest countries to travel to in 2025: Tanzania hatumo, tunakwama wapi?

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kwa Afrika zipo Rwanda, Ghana, Burkina Faso, Mali na Malawi.

Screenshot_2025-03-14-16-17-39-166_com.twitter.android-edit.jpg
 
Kenya umeiona hapo? Cheap kumaanisha nini hasa? Maana huku Daladala hadi za jero zipo, wali wa buku upo.., cheap how?
Ni cheap kwa wazawa ila sio kwa watalii maana watalii huwa hawapandi daladala.
Pia nina mashaka na makodi ni mengi plus urasimu/ukiritimba ndio imetufanya tusiwepo kwenye list ya cheap countries.
 
Zanzibar mnaweka makodi makubwa mtawaweza Rwanda?
Yaan unacompare rwanda na zanzibar?????
Jf kweli imekua ya vilaza siku hizi...
Sasa rwanda kuna wageni gani wa kuizidi zenji???
Ñdio madhara ya kuviacha vimtu vya rwanda hapa tz yaan ni utumbo tu vnaongea
 
Ni cheap kwa wazawa ila sio kwa watalii maana watalii huwa hawapandi daladala.
Pia nina mashaka na makodi ni mengi plus urasimu/ukiritimba ndio imetufanya tusiwepo kwenye list ya cheap countries.
Kwan wageni wamekatazwa kutumia hivyo vitu cheap vya wazawa....
Kwani humu jf siku hiz kumekuaje mbona people zmekua vilaza sanaa
 
Kwan wageni wamekatazwa kutumia hivyo vitu cheap vya wazawa....
Kwani humu jf siku hiz kumekuaje mbona people zmekua vilaza sanaa
Kwa hiyo wewe unataka mtalii akija awe anajichanganya tandale na kupanda daladala kama unavyoishi wewe?unajua kuhusu mambo ya usalama?inaonekana hujawahi kusafiri hata kwenda Burundi ndio maana unaropoka halafu mwenyewe unajiona bonge la Genius eti
 
Nani anawazuia kukaa hizo cheap? Kwamba ukalale Sheraton ulipe bei za Sinza? Au cheap iwe vipi sasa?
Kwa mfano mtalii amekuja kwa lengo la kutembelea Ngorongoro kwa wiki 2 kwa hiyo akitaka kula chakula awe anasafiri kwenda Arusha Ngarenaro ale lunch halafu asafiri jioni kwenda kulala Ngorongoro si ndio?chekecha akili ndugu si kila kitu hadi ufundishwe.
 
Wapotoshaji wanaweza kutengeneza taarifa zisizo za kweli kwa njia ya takwimu katika sekta tofautitofauti, hivyo ni vema kuthibitisha taarifa za kitakwimu unazokutana nazo ili kudhibiti upotoshaji.

Unapohitaji msaada wa uhakiki wasilisha taarifa yako katika jukwaa la JamiiCheck.com ili ipatiwe uhalisia kamili.
📌📌🔨
 
Kwa mfano mtalii amekuja kwa lengo la kutembelea Ngorongoro kwa wiki 2 kwa hiyo akitaka kula chakula awe anasafiri kwenda Arusha Ngarenaro ale lunch halafu asafiri jioni kwenda kulala Ngorongoro si ndio?chekecha akili ndugu si kila kitu hadi ufundishwe.
Tour companies zinaafanya hayo yote, wao ndio wanajua, we lipa wakuhudumie.
 
Back
Top Bottom