MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Kama Malaysia na Thailand hazipo apo iyo list ni batili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ina vivutio vinavyovutia wengiZenji ni expensive kuanzia accommodation na chakula.
Kuna nini cha kuona kitalii malawi?Ngoja siku moja niende Malawi angalau
Uongo mkubwaMaisha ya msafiri (mtalii) anayekuja Tanzania yamezungukwa na urasimu na gharama kubwa kupitiliza. Yaani bidhaa na huduma rasmi huuzwa kwa bei yenye tofauti kubwa mnoo (zaidi ya mara nne) kati ya mwenyeji (mtanzania) na mgeni (mtalii). Yaani mtalii amewekewa bei yake!
Kwanza kuwa Cheap sio sifa, Nimeangalia in deep hizo Nchi, kuna Nchi By average mtalii ana spend Euro 12 kwa siku, si upuuzi huo, yani mtu atoke Ulaya aje Tanzania akae siku 5 aliingizie taifa Euro 60 tu?
We nawe ina maana hujui kama watalii wanachajiwa tofauti? Nenda Azam Marine pale bila ushahidi wa Utanzania wako utaona utaambiwa dola ngapUongo mkubwa
Mfano mtalii akitaka kula kwa mama ntilie kuna mtu anamkataza? Au mama nitilie anampa bei tofauti na watanzania?
Mtalii.akipanda daladala au bodaboda atachajiwa pesa tofauti na mtanzania? Au kuna mtu anamzuia mtalii asipande daladala au bodaboda?
Acha uongo wewe
Rwanda inatumia hela nyingi mno, Takriban 40M usd kujitangaza tu na pato lao la utalii ni kama $600MZanzibar mnaweka makodi makubwa mtawaweza Rwanda?
Hakuna miundombinu ndio tatizo kubwa. Hotel ni chache piaSababu ina vivutio vinavyovutia wengi
Wateja wakiwa wengi na eneo dogo unapandisha bei
Zanzibar padogo ila wateja wengi wanapataka kutalii