matatizo haya
New Member
- Dec 11, 2011
- 1
- 0
nina rafiki angu ,mumewe anacheat sasa ndio amegundua sasa anmpenda mumewe lakini ajui afanyeje ,mana huyo mumewe kamfanyia mambo mengi yule mwanamke mwingine je anaomba ushauri wenu jamani
Anampenda mumewe lakini hajui afanyeje? kwanza lazima ajue yeye amekosea wapi au ndio wale wanawake akishaolewa basi naende mumeatakako as long as yeye mke keshamuoa atarudi tuu nyumbani, mwambia apunguze mialiko ya harusi na kitchen party ampe time mumewe,asimwache mfanya kazi akapika chakula cha mumewe...