Cheat

Cheat

matatizo haya

New Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
1
Reaction score
0
nina rafiki angu ,mumewe anacheat sasa ndio amegundua sasa anmpenda mumewe lakini ajui afanyeje ,mana huyo mumewe kamfanyia mambo mengi yule mwanamke mwingine je anaomba ushauri wenu jamani
 
binafsi sijaelewa vizuri rafiki!
usijal wataalamu wa kudanganya wanakuja punde...
ila pia nyuzi za aina hii ziko nyingi zimejadiliwa kwa kina na watu humu...
pitia plz
 
mama kajuaje kuwa mzee ana cheat? Kamkamata? Na kama kamkamata ina maana jamaa yako hajasoma thread ya The Boss...'ukitaka kuwa na nyumba ndogo...the guide'.Kaitafute kwenye archive,print,mpelekee jamaa yako akariri hilo desa ili asirudie kuharibu nyumbani.
As of shemeji yako atakasirika yataisha na maisha yataendelea,hakuna mwanamke anaacha mme siku hizi,wanabanana humo humo.
 
nina rafiki angu ,mumewe anacheat sasa ndio amegundua sasa anmpenda mumewe lakini ajui afanyeje ,mana huyo mumewe kamfanyia mambo mengi yule mwanamke mwingine je anaomba ushauri wenu jamani

Anampenda mumewe lakini hajui afanyeje? kwanza lazima ajue yeye amekosea wapi au ndio wale wanawake akishaolewa basi naende mumeatakako as long as yeye mke keshamuoa atarudi tuu nyumbani, mwambia apunguze mialiko ya harusi na kitchen party ampe time mumewe,asimwache mfanya kazi akapika chakula cha mumewe...
 
Kama anampenda aendelee kuwa nae ila awe makini na kiini au chanzo cha mumewe kutoka

Pia kuna UKIMWI siku hizi , awe makini
 
Back
Top Bottom