Friji la mtumba
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 277
- 434
Kama hujakutana na changamoto pasuakichwa za ndoa basi acha kabisa kulaumu wanaochepuka, si kwamba wamependa, ni biological push inawapeleka huko
- Kuvunjika kwa imani (trust) — jambo ambalo ni gumu sana kulijenga tena
- Mateso ya kisaikolojia kwa aliyeumizwa — huzuni, msongo wa mawazo, hata depression
- Kuvunjika kwa familia — watoto, ndoa, na maisha ya baadaye kuathirika
- Kuathiri heshima binafsi na ya jamii
NACHEPUKACharity begins at home,
Mleta mada ahuchepuki!?
Hatar sanaShetani Ana Nguvu Sana Mkuu
View attachment 3328863
Niliamua kuongeza mke wa pili kwa Nia njema tu,huku nikihakikisha mke wa Kwanza akihudumiwa kila kitu, kuanzia maitaji yake ya kimwili , maitaji ya kitandani, na maitaji ya nyumbani.., lakini Hali iyo ilipelekea mke wa Kwanza kuchepuka mpaka tukaachana., Sasa najiuliza kuoa mke wa pili ni dhambi!? mbona Babu zetu walioa na mambo yalikuwa fresh tu?
Mi mwenyewe simuachi toto limenonaaaaShetani Ana Nguvu Sana Mkuu
View attachment 3328863
Magonjwa ya zinaa
Nakubaliana na wewe, hakuna anaeingia kwenye ndoa Ili akachepuke situation forcesKama hujakutana na changamoto pasuakichwa za ndoa basi acha kabisa kulaumu wanaochepuka, si kwamba wamependa, ni biological push inawapeleka huko