UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Kwenye kikao tulikubaliana kuchapiwa ni siri ya ndani..!!Wadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto UTAFANYA MAAMUZI YAPI
pamoja na huyo mkeo kuomba msamaha
Hapana unatakiwa kuachana nae haraka sana usimuhifadhi mwanamke msaliti ndani ya nyumba yako unafuga nyoka litalokuja kukumeza bila huruma.Kwenye kikao tulikubaliana kuchapiwa ni siri ya ndani..!!
UOGA = UMASIKINI= KUPIMA DNA= KUMUACHA HARAKA SANAWadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto UTAFANYA MAAMUZI YAPI
pamoja na huyo mkeo kuomba msamaha
Tatizo ni hiyo kuendeleza mawasiliano.aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti
Wadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto UTAFANYA MAAMUZI YAPI
pamoja na huyo mkeo kuomba msamaha
Brother ni adjee....... Uko poa aseeh maake nasikia mjini Hali sio nzuri 😢Cha kwanza pima DNA
Huyo mchepuko atamkuta yupo single au nae ana x wakeNajua itakutesa sana, maisha yako yote. Ili kurudisha furaha yako,fanya hivi:-
Andikisha mali zote kwa mama/baba yako Tafuta mchepuko/ nyumba ndogo na uzae naye Wekeza mapenzi nyumba ndogo na kwa watoto. Baada ya hapo, mwambie mkeo anaweza kuondoka hapo nyumbani na kwenda kuishi kwa mpenzi wake wa zamani.
Bado itakusumbuaSometime wanaodai tuoe bikra wana hoja ya msingi
Uliona red flags ukapuuzia ukabeba mzigo au sioWadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto UTAFANYA MAAMUZI YAPI
pamoja na huyo mkeo kuomba msamaha
Wadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto UTAFANYA MAAMUZI YAPI
pamoja na huyo mkeo kuomba msamaha