Cheating kwa miaka 7

Cheating kwa miaka 7

Adhabu yote iyo ni kwakua kakucheat tu??

Si uachane nae sasa hivi, vipi akigundua huo mpango wako na akakudedisha maana hapo ni kuwindana tu.
Ukiachana naye kienyeji, atatafuta haki zake za kumiliki mali, na akifanikiwa, mali zako anaenda kutumbua na wauni wengine.
 
Kizazi ambacho wanaume wanaongizwa kuteswa na malenzi kuliko wanawake na hawajui wafanye nini, inasikitisha sana
Wewe ni dhaifu sana, pathetic
 
Wadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto UTAFANYA MAAMUZI YAPI

pamoja na huyo mkeo kuomba msamaha

Swali ni je.. wewe wakati mko wachumba ulikuwa nae tu au walikuwa wawili watatu ukamchagua yeye. Kama walikuwa wengi, jua kabisa hata yeye ni binadamu hivyo inawezekana alikuwa na jamaa zake kabla yako.

Swali lingine, wewe umekata mawasiliano kabisa na wapenzi wako wa zamani, yaani mmekuwa maadui.. mimi sioni shida kama wanawasiliana, labda kama hayo mawasiliano ni ya kimapenzi ndio naweza kukuelewa.

Kama ameomba msamaha kwa kuwa na uhusiano na myu mkiwa wachumba naona hiyo inatosha.

Mwisho wa siku, wewe ndie mwenye maamuzi na una mjua mkeo, lakini je.. wewe unaona ni sawa kuvunja ndoa na mkeo kwakuwa tu alikuwa na mahusiano na mtu wakati hamja oana? Kama unaona ni sawa umwache kwa kosa la zamani.. basi hukuoa mke sahihi kwako au wewe mwenuewe una matatizo.
 
Back
Top Bottom