Cheating kwa miaka 7

Bado itakusumbua
Sikuhizi kote kugumu
Ndoa ni jehanamu kubwa...si ndogo Tena...Mara Mia ukavumilia upweke kuliko kuvumilia adui unaeishi nae nyumba moja na kilasiku unamuona.Ogopa sana
Aise ni kazi unajua kabisa jamaa alikula mzigo watoto unakuwa uamin ni kama wako.
 
nampuuza tu huyo wa mkoani huku mimi na mke wangu tukiendelea kuinjoy na kufyatua watoto kadiri ya Neema na Baraka za Mungu πŸ’
 
Adhabu yote iyo ni kwakua kakucheat tu??

Si uachane nae sasa hivi, vipi akigundua huo mpango wako na akakudedisha maana hapo ni kuwindana tu.
 
nampuuza tu huyo wa mkoani huku mimi na mke wangu tukiendelea kuinjoy na kufyatua watoto kadiri ya Neema na Baraka za Mungu πŸ’
Ukipuuza utakuja kufa kabla ya wakati wako inawezekana hata watoto unao fyatua sio wako na kama ni wako nenda kapume DNA ndio jibu la hao unaofyatua
 
Mkuu hivi ukiumwa.maralia utakata kichwa kisi kuume au utatibu maralia inayo sababisha kichwa kuuma?
 
Another Man Down.....ila nyie mnapopiga mishangazi na mapisi mnajiona wajanja....wanawake wakidanya wao wabaya
 
Wanawake wote wako hivyo; kwa kifupi miaka yote hiyo 7 alikuwa anamla pamoja na wewe unamla!
Huyu jamaa alipuuza red flag.

Mwanamke alimcheat wakiwa wachumba.....inaonekana jamaa alikuwa akimtegemea sana huyo mwanamke ndio maana hakuwa na jeuri ya kumuacha. Sasa anavuna alichopanda
 
Mkuu hivi ukiumwa.maralia utakata kichwa kisi kuume au utatibu maralia inayo sababisha kichwa kuuma?
Hio itakuwa maleria sugu ata ukiitibu haiponi unajua mkuu mwanamke kama alikuwa tayari na mahusiano huko nyuma na mtu wake hawezi kuachana nae na Kuna uwezekano mkubwa ukakuta hata hao watoto sio wako na kama huniamini nenda kapume DNA na kama huna subira usipime DNA utakuja kufanya jambo hukulitegemea katika maisha yako
 
Matatizo nikama nguo na nguo sio nguo Kama haivaliki
Lime mkuta kwasababu Lina mstahili na analiweza

miaka Saba sio mchezo lakini mchezo umekuja kujulikana mwishoni

Kuna mawili watoto Wana weza wakawa sio wake lakini pia hata yule wa nje wakawa sio wake
 
Kumbuka tu ni wachache sana wasio-cheat kwa sasa, people cheat in different ways, iwe kihisia au kimwili ila watu wanacheat.

Imagine jinsi watu wanavyoitana babe while they're nowhere near "babies"..
 
Ukipuuza utakuja kufa kabla ya wakati wako inawezekana hata watoto unao fyatua sio wako na kama ni wako nenda kapume DNA ndio jibu la hao unaofyatua
gentleman,
labda mwanaume mwenye tatizo la nguvu za kijinsia ndie pekee anaweza kubababika na uzushi dhidi ya mke wake.

dume lenye uhakika halimchungulii mkewe, na kitanda hakizai haramu

Kwanini ujipeleke ukafie kwenye DNA gentleman?, tafadhali jiamini bana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…