Cheating

Shost aligundua mume wake anacheat on her. Tena kheri akubali na aombe msamaha jamaa alikataa kabisa. Bi shost ni alwatan mjini alapigiwa simu juwa jamaa ameonekana maeneo na totoz mbili mmojawapo ni yule adui wake.
Shost alimuuliza jamaa, kama kawaida alikataa tena alisema hakuwepo mjini. Bank statement ilipoanguka jamaa alikipa bill 200,000 samaki samaki siku ile shost aliidaka.

Alimpa mbwa chakula kwenye dinner plate, mbwa alimaliza supu na kulamba sahani. Aliichukua ile sahani pasi kuiosha akamuwekea mumewe chakula.

Wakati jamaa anapambana na mate ya mbwa yeye moyo wake burdani.
 
Ikawaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…