Cheating

jaman jaman
ndo alimkomesha ama? hasira zingine ni shidaaaaa
 
Jolie Jolie ukuje uone hasira za mwanamke mwenzio
 
Siku hiyo mood ya denda hakuna wala mchezo no. Unamwekea bank statement kitandani na una highlight zile tarehe
Hata asipodendwa siku hio, the day anadendwa unadhani atawaza nini? Anadendwa na mbwaweee...!!!
 
Ndio umshtue na Jolie aone hasira za mwanamke mwenzie
unajua kuna wakati huwa nawashangaa sana wanaume, unaweza kuta anasapoti michepuko kuliko home kwake bila kujua akiugua mchepuko hauwezi kumsaidia kwa lolote unless useme hana heshima kwa mkewe.
Wanaume badiliken pls kama mnataka kuendelea kuishi maana sio kwa dizaini hii mlio nayo.

NB. sio wanaume wote but baadhi wako hivyo, mjaribu kujua immediate family is very important and that should stick in your minds.
 
Sometimes tuna ya tafuta sisi wenyewe, kisa umekuwa mke wa mtu ndiyo kushinda na madera, tena unakuta mume anafanya mazoezi wewe unaangalia tamthilia
 
Sometimes tuna ya tafuta sisi wenyewe, kisa umekuwa mke wa mtu ndiyo kushinda na madera, tena unakuta mume anafanya mazoezi wewe unaangalia tamthilia
hapo ni sawa ila anamkomoa nani? wakae wayazungumze.
mke na mume ni marafiki na sio maadui na hivyo hupelekea siku zote watoto kuteseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…