Nywanoko
Member
- Mar 28, 2018
- 27
- 15
Umesema ukweli wote mkuu! Agiza Bapa nakuja kulipa nipo ubungo mataa kuja kulipia hilo bapa.tunacheat kwa girlfriend zetu lakini hatutaki wao watucheat kwa sababu hiziView attachment 725735
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema ukweli wote mkuu! Agiza Bapa nakuja kulipa nipo ubungo mataa kuja kulipia hilo bapa.tunacheat kwa girlfriend zetu lakini hatutaki wao watucheat kwa sababu hiziView attachment 725735
umbea huu jamanIkawaje?
alafu wewe unapenda kuishia njiani na vistory vyako hivi, ebu malizia sasaShost aligundua mume wake anacheat on her. Tena kheri akubali na aombe msamaha jamaa alikataa kabisa. Bi shost ni alwatan mjini alapigiwa simu juwa jamaa ameonekana maeneo na totoz mbili mmojawapo ni yule adui wake.
Shost alimuuliza jamaa, kama kawaida alikataa tena alisema hakuwepo mjini. Bank statement ilipoanguka jamaa alikipa bill 200,000 samaki samaki siku ile shost aliidaka
Anachana mikeka kweny stor sioalafu wewe unapenda kuishia njiani na vistory vyako hivi, ebu malizia sasa
Eheee ikawaje???? [emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]Shost aligundua mume wake anacheat on her. Tena kheri akubali na aombe msamaha jamaa alikataa kabisa. Bi shost ni alwatan mjini alapigiwa simu juwa jamaa ameonekana maeneo na totoz mbili mmojawapo ni yule adui wake.
Shost alimuuliza jamaa, kama kawaida alikataa tena alisema hakuwepo mjini. Bank statement ilipoanguka jamaa alikipa bill 200,000 samaki samaki siku ile shost aliidaka
Nn?Mmmh
NimemaliziaEheee ikawaje???? [emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]
Ah ah ah aaaNimemalizia
Siku hiyo mood ya denda hakuna wala mchezo no. Unamwekea bank statement kitandani na una highlight zile tareheAh ah ah aaa
Nimeona hiyo japo nimejaribu kuwaza mume angetaka kula denda na mkewe ghafla ingekuwaje?
Au ndio yale unavumilia tuu ukitoka hapo unajitapisha mpaka nyongo itoke?
Anyway nimewaza mengi sana,
Ooh Okey, kama ni hivyo sawaSiku hiyo mood ya sends hakuna wala mchezo no. Unamwekea bank statement kitandani na una highlight zile tarehe
Hahaha yaaaani nataka nijue kilijiri niniumbea huu jaman
hata mimi nimejiuliza ikawaje
hata mimi, muite basi akikujibu unitaqHahaha yaaaani nataka nijue kilijiri nini
hahahahaha shosti na wewe umo kwenye grp langu na Jolie Jolie ?Eheee ikawaje???? [emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]
Acha tuu shogaa, nimeshindwa kuvumilia nikajikuta nimesimamisha maskio kama antenna [emoji28][emoji28][emoji28]hahahahaha shosti na wewe umo kwenye grp langu na Jolie Jolie ?
Mbona ameshaimalizia story, rudi kwenye ile ile commenthata mimi, muite basi akikujibu unitaq
hahahahahah cjui ameenda wapi jamanAcha tuu shogaa, nimeshindwa kuvumilia nikajikuta nimesimamisha maskio kama antenna [emoji28][emoji28][emoji28]
ok ngoja nirudie, useme ame edit ama?Mbona ameshaimalizia story, rudi kwenye ile ile comment