Chebukati na Watuhumiwa: Wanaposubiriana kusema "SU"

Chebukati na Watuhumiwa: Wanaposubiriana kusema "SU"

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo.

Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections

Hadi mwisho wa shauri hili, enyi walamba asali wa kwetu tambueni kuwa ujanja ujanja wenu umefikia mwisho.

Kama vipi refa na awe beberu, hii kazi hamuiwezi kwani haki kwenu haifahamiki.
 
Back
Top Bottom