B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Aug 28, 2022 #1 Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo. Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections Hadi mwisho wa shauri hili, enyi walamba asali wa kwetu tambueni kuwa ujanja ujanja wenu umefikia mwisho. Kama vipi refa na awe beberu, hii kazi hamuiwezi kwani haki kwenu haifahamiki.
Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo. Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections Hadi mwisho wa shauri hili, enyi walamba asali wa kwetu tambueni kuwa ujanja ujanja wenu umefikia mwisho. Kama vipi refa na awe beberu, hii kazi hamuiwezi kwani haki kwenu haifahamiki.