Asante MMKJJ, nimekusoma, nataka kucoment kuhusu nyaraka, naomba kama utaanzisha thread yake.
Kuhusu upatu, siwalaumu watu, Watanzania tuu wajinga ili sio kosa letu, ni umasikini uliokithiri umepelekea any hopes to make it, wanafakamia kwa kishindo.
Nasymphasize na masikini wakutupa waliokata tamaa na kuchukulia desi kama mkombozi wao katika desparation ya kuondoa umasikini wao, wakati huo huo, siwahurumii matajiri waliowekeza mitaji mikubwa kwa tamaa ya easy money, 'easy come, easy go', hawa wasirudishiwe hata hizo mbegu!.
I reserve the my comments kuhusu serikali yetu na desi, tumeshapiga sana nyundo, hebu niwaache wapumue japo kidogo
Huku watu wa nyundo, endeleeni kogonga mpaka msumari utokezee upande wa pili.