Cheche ;Vera Vendetta ‘''nimekuchagua wewe Diamond my love’' arusha cheche kwa Zari

kennek

Member
Joined
Oct 24, 2017
Posts
12
Reaction score
6
STAR wa marekani Vera Vendetta atema cheche ‘nimekuchagua wewe Diamond my love’ arusha kijembe kwa Zari The Bosslady, boda aendelea kuonesha hisia zake mitandano ikiwemo instagram na snapchat
Fungua video kumjua Vera ni nani?

please don't forget to subscribe
 
dai wakaze wakaze ila tumia kinga miwaya ipo
 
Pilau nyama kachumbari mbwembwe tu
 
Nasemaje tena wakaze tu kisawasawa baba Mondi maana hakuna namna
 
Ukiwa mwanamuziki na pesa unazo, kuweka demu nyumbani ni gozigozi tu, bora uwe single ufaidi bila kigugumizi.
 
STAR wa marekani Vera Vendetta atema cheche ‘nimekuchagua wewe Diamond my love’ arusha kijembe kwa Zari The Bosslady, boda aendelea kuonesha hisia zake mitandano ikiwemo instagram na snapchat
Fungua video kumjua Vera ni nani?

please don't forget to subscribe

Thousand tones of Vera, can never value a pinch of Zarina Hassan. Zari is a woman. Very few in a world are like her. This vera is a bandit prostitute like other prostitutes we see hunting men for fame and money day and night.

Zari yuko juu sana kuliko haya makahaba. Wanasema ana miaka 45, what is wrong with that? Miaka yao michache inawaongezea nini? Zari is mellowing with age!. She is one of the rare precious creatures na kwa hioy hawa makahaba kinchowasumbua ni wivu tu dhidi ya Zari. I hope Zari analijua hili.

Mtu kama Vera kwa sasa yuko hivyo na ana miaka tuseme 18. Lakini ukimweka na Zari pamoja bila caption yoyote, obvious kila mtu mwenye akili timamu atamchagua Zari. Je akifika Umri wa Zari siyo kwamba atakuwa anakimbia camera na vioo?

Honesty siamini Vera was born a female. He looks like a TRANNY!. Typical transgender. Mwangalie usoni!.

Kazi kwa Mondi kama hajui thamani ya Zari, aendelee na hayo makahaba na sasa ma transgender!.
 
Word bro. Yaani umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom