Field marshall ni hatari hadi nimeanza kufuatilia post zake za nyuma..kweli CCM walianza zamani epa ni kitu cha kawaida..someni below!!
Field Marshall ES Field Marshall ES is online now
Field Marshall ES has no status.
JF Senior & Premium Member
Join Date: Thu Apr 2006
Posts: 7,393
Rep Power: 37
Field Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud of
Thanks: 7,470
Thanked 6,464 Times in 2,648 Posts
Credits: 736,298
Default
Mzeee wangu Kishoka,
Hehima mbele mkuuu, nilkuwa sijaiona hiiii, anyway Kapinga ndiye aliekuwa Mkurugenzi wa Sukita kabla ya hapo alikuwa DABCO akaiila weee mpaka ikaisha, akapewa Sukita, nayo ikaliwa weeee mpaka ikaisha, but at the same token toka enzi za TANU, hela za kuiendesha TANU/CCM zilikuwa zikichotwa hazina bila kumbukumbu kubaki, ilikuwa ni siri ya Mwalimu na waziri wa Fedha,
Ilipokuja mult-party system ukawa ndio mwisho wa huo mchezo, ndio mana ukaona mtu yoyote anpewa uwaziri huo siku hizi, sio kama zamani ambapo ilikuwa special people tu! Sasa CCM haiwezi tena kuchota hazina, maana wafadhili wanaaangalia kwa makini, sasa tuna waarabu na wahindi ndio wanaotusaidia kukiendesha chama financially, mali chache za Sukita na miradi mingine ziliishia kuingizwa kwenye mfuko wa CCM under Kolimba, ndipo Sukita ilikufa rasmi,
CCM haina hela kama wananchi wengi wanavyoaamini, the matter of fact pale makao makuuu ya CCM Dodoma labda kuna laini moja tu ya simu inafanya kazi, otherwise viongozi kama kina JM, na Makamba hutumia simu zao za mikononi that is how cheap the chama is, mshahara wa viongozi hao wa juuu hauzidi sillingi laki mbili kwa mwezi, and I mean it!
Kuhusu uchaguzi uliopita, ni lazima uwape CCM credit maana sasa wamegeuka kama vyama vingine kuwa vyama vya uchaguzi tu, CCM ina vichwa vingi vyenye akili za kufikiria namna ya kuendelea kutawala, sasa kama umeona Muuugwana leo anavyoshangiliwa na kupokewa na maelfu ya wananchi kila anapokwenda, sio bongo au nje ya nchi, je utawalaumu CCm kwa kumchagua yeye badala ya wenye experience? Ndio kubadilika kwenyewe kwa dunia bro!
Ndio maana pamoja na machungu yote ya uchaguzi, bado wako kitu kimoja na ni only in bongo, maana ungetegemea baadhi yao wajitoe kwa kutoridhika, NO! ndio hasa point yangu ninaposema vyama vyote bongo vimegeuka kuwa ni vya uchaguzi tu!
Kapinga mzee wa Songea, alikuwa na mzito aliyekuwa akimkingia kifua na ndio maana hata Sukita ilipokufa hakukuwa na maneno, hivi unajua jamaaa waliokuwa huko Sukita hata ma-messengers walijenga nyumba kile kipindi?
Sijui kama nimekusaidia kuelewa brop!