Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,933
- 988
MMKJJ, mwambie kainzi pole!! Mfariji basi!! Ili akipona awe na moyo kuzunguka huko na huko kwenye uchafu na kutuletea.
ni kwenye BIBLIA pekee sijaona Mungu akiwaambia "pole" watumishi wake, lakini anawapenda na kuwawazia mema haina mfano.
Na wewe umeiga tabia hiyo? Lakini Yeye ni Mungu anajua yote.