Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #61
naomba tujadili issues za meremeta na mambo yaliyomo humu. Nashukuru kwa pongezi (nisizozistahili kwani mtu yeyote anaweza kufanya ninachofanya na wapo wanaofanya zaidi). Lakini nyingine zinaniongezea maadui nisiowahitaji kwa kweli.[/QUOTE
Cuzin hii kitu mbona mimi nashindwa kusoma ipo na maandishi madogo sana nitapata wapi hard copy yake...je ipo online na kama ipo how...nitumie kwenye email basi
Ngoja nicheki kidogo cuz..
- Siku kutakapoguswa huko tu, utaona yatakayojiri mark my words! Maana watakuja mpaka humu ndani bila hodi! Maana kumbuka mstaafu wa idara ni a former military man,
hivi unajua alipokuwa soldier professional yake ilikuwa ni nini? Na aliyowahi kuyafanya live na hiyo professional yake, kwenye army? Yaani wee acha tu ndugu yangu!
Usiombe!ningekuwa mimi serikali ningehakikisha Cheche ya kesho haitoki!
ningekuwa mimi serikali ningehakikisha Cheche ya kesho haitoki!
...itoke mara ngapi wakati mimi nilisha iprint tayari... nagawa copy kuanzia Mwanza South, Mwaloni mpaka Pansiasi(kwenyewe)!!!
mmh.. hakikisha husogeli pale kwenye roundabout ya karibu na makao makuu ya CCM (karibu na Gandhi Hall)..
Kazi ya kusambaza naona imepamba moto, kuna jamaa bila kujua kama nipo ktk mtandao, kanitunimia kijijalada hicho. Hebu tuone itakavyokuwa...
Cheche sasa kina chechemea!
Cheche sasa kina chechemea!