Cheche: Ya Mboma, Meremeta, na Apson!

MMKJJ, mwambie kainzi pole!! Mfariji basi!! Ili akipona awe na moyo kuzunguka huko na huko kwenye uchafu na kutuletea.
ni kwenye BIBLIA pekee sijaona Mungu akiwaambia "pole" watumishi wake, lakini anawapenda na kuwawazia mema haina mfano.
Na wewe umeiga tabia hiyo? Lakini Yeye ni Mungu anajua yote.
 
Babu yangu nitakuongeze nyundo, Panga, Koreo na misumari ili uwanjinje vizuri watu kama hawa, na pia niyakuombe kwa Mungu ili uwe makini sana hata kuzidi hapa maana bila yako leo Taifa letu ningekwenda kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…