Cheche za mate wakati wa kuongea

Cheche za mate wakati wa kuongea

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Hili tatizo au kawaida?

Husababishwa na nini?

Tiba yake nini?
 
Sii pendi kuna watu huwezi kuongea nao karibu karibu mpaka uwe na mwamvuli
 
Wala sio tatizo ni kukosa tu ustaarabu namna ya kuongea , kuongea kwa kupayuka payuka mdomo unaufungua 360° lazma mate yakuruke
 
Hembu tamka neno Lithification au lithify wakati una mwanya wa juu kama hutatoa mate.

Duc in Altum
 
Aisee waite fire utakuja kulipika usipofiata ushauri wangu
 
Back
Top Bottom