Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Wengi tunajenga kwa kujinyima na kudunduliza. So tunahitaji measures za sisi kutogharamika na kutofanya vya ziada.
Ila kuna jamaa mmoja akiwa amekaa kwenye kochi la shemeji yake anandaa comment ya "hakuna ujenzi wa gharama tafuta hela"
Check out these:
1: Urembo wa grills.
There's no point kugharamika kutengeneza maumbo au maua mazuri katika grills za madirisha. Utayafunika na madirisha na mapazia yako. So sio mbaya kama ukiunda grills za kawaida ila kupunguza gharama kupindisha maumbo.
2: Uwekaji wa madirisha ya Aluminium katika vidirisha vya choo.
Kati ya sehemu inayohitaji hewa kutoka na kuingia ni chooni ili kupunguza harufu nzito kubaki ndani. So weka grills zako na waya itakayo zuia mbu kuingia ndani.
3: Designs mpya za upauaji zinatugharimu sana.
Nyumba zimekuwa pyramids, utafikiri tunasubiria theruji zije na kushuka ili zisibaki juu ya paa. Kuna designs nzuri na moderate zinazohitaji paa chache. Ni aibu unakuta una nyumba inapaa nyingi kwenda juu lakini hauna uzio kwako au chumba cha watoto cha kujisomea.
4: Uwekaji wa mafundi wa bei chee na other cheap labour.
Ukimuona umemshusha fundi hadi bei ya chini zaidi unajiona kama john cena hivi, kumbe unajitengenezea njia ya kurudia ujenzi. Katika kila hatua tafuta fundi anajulikana kuwa ni the best kutojali bei yake kwa maana utapata wa bei chee lakini utagharamika katika kurudia makosa.
Ni hivyo vichache, karibuni kwa vingine