Check za NMB zina expire baada ya muda gani toka kuichukua

Check za NMB zina expire baada ya muda gani toka kuichukua

Under30

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
218
Reaction score
640
Niko sehemu ambayo siwez fika benk ila nina check hapa,kwenda kuchukua hela nimekwama,nijulishen ndugu lin chek huwa ina expire
 
After six months....ndo inakuwa stale cheque/outdated cheque...hapohapo inakuwa dishonoured cheque
 
After six months....ndo inakuwa stale cheque/outdated cheque
Nashukuru mkuu maana hapa nilipo kuna mvua hata kutoka ndan nashindwa na ndo ilikua leo niende maana weekend inaingia...asante
 
After six months....ndo inakuwa stale cheque/outdated cheque
Nashukuru mkuu maana hapa nilipo kuna mvua hata kutoka ndan nashindwa na ndo ilikua leo niende maana weekend inaingia...asante
 
hiyo imeshaexpare watu wanakupa moyo tu cha msingi itupe tu au niletee nitakubembelezea nina demu wng hapo nmb mtu mkubwa atatufanyia manuva
 
Back
Top Bottom