checking in progress hawa ndio tcu

checking in progress hawa ndio tcu

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
nimejisajili tcu, lakini napotazama profile yangu kwenye upande wa 'met min requirement' nakuta nimeandikiwa "checking in progress". Kwa anayefahamu naomba anieleweshe maana halisi ya "checking in progress" kulingana na tcu
 
Subirini punguza munkali vijana selection huwaga zinatoka wengine wanakua bado wameandikiwa hivyo hivyo checking in progress hiyo ni system inatika computer mpaka iperform calculations ya matoleo yako ili ijue kama unavigezo kueni wapole mbona sisi tulikua na subira tu maionee tcu hiyo ni system ndo inachelewa kimbukemi sio nyie peke yenu mnaaply
 
unamaanisha ata hao ambao huwa wameandikiwa checking in progress ujikuta wamechanguliwa na tcu kujiunga na vyuo?
 
ngoja tuvute subira maana subira yavuta heri
 
Haya sasa fanyeni kuangalia profile zenu wameanza kurekebisha mambo.
 
Back
Top Bottom